Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Hukumu Kesi ya Mbowe Hai kutolewa Mei 18, 2015

Mbunge wa Hai ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mh Freeman Mbowe akizungumza na viongozi wa Chadema nje ya ofisi za Mahakama Hai baada ya kesi inayomkabili kuhusiana na Uchaguzi wa 2010 kuahirishwa. Kesi hiyo imeahirishwa hadi tarehe 18/05/2015 ambapo itasomwa hukumu. Pichani wanaonekana Muasisi wa CHADEMA na Gavana wa zamani wa BOT Mzee Edwin, Katibu wa Kanda ya Kaskazini na Mwenyekiti wa Mkoa wa Arusha Chadema, Mh Amani Golugwa (mwenye suti nyeusi) Pia yupo Mbunge wa Nyamagana Mh Ezekia Dibogo Wenje na Mwenyekiti wa CHADEMA Kata ya Kiranyi Arumeru Magharibi, Mh Walter Munuo pamoja na wanachi wengine waliomsindikiza Mbowe na wanausalama wa CHADEMA
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO