Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

VIJANA MARAFIKI WA LOWASA WAPANDISHA UJUMBE KWA KIKWETE JUU YA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO

Kundi la marafiki wa Lowasa kutoka kana ya Kaskazini wakiwa katika kituo cha Kibo ,wakiwa katika maandalizi ya kuanza kwenda kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro.

Sehemu ya juu ya mlima Kilimanjaro ikiwa imefunikwa kwa theruji.

Kundi la Marafiki wa Lowasa wakiwa katika kituo cha Stella,kikiwa ni kituo cha mwisho kuelkea kilele cha Uhuru .

Mandhari mbalimbali zinayoonekana wakati wa kuupanda Mlima Kilimanjaro.

Safari ya siku tatno kwa ijana hao ikahitimishwa katika kilele cha Uhuru Peak ,kama wanayoonekana ijana hao wakiongozwa na mratibu wa marafiki wa Lowasa Kanda ya Kaskazini ,Noel Nnko(mwenye koti la rangi nyekundu kulia)

Safari ya kurudi kiasi ilikuwa tatizo wakati mwingine baadhi yao walilazimika kupewa msaada kwenye kifaa maalumu cha kushushia wageni waliopata maatizo .

Baadhi ya vijana ambao ni marafiki wa Lowasa wakiwa katika safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro.

Picha na Stori Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

 

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO