Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: MEYA WA JIJI LA ARUSHA NA ZIARA ZA KUTEMBELEA SHULE ZA HALMASHAURI - I

Meya wa Jiji la Arusha, Mh Kalisti Lazaro ameanza ziara ya kutembelea shule zote zilizoko katika Halimashauri anayoinongoza na kuweza kujionea hali halisi na changamoto zinazokabili shule hizo. Mh Meya ameambatana na baadhi ya Madiwani na Naibu Meya Mh Viola Likindikoki kwa kuanza na shule za Kata ya Murriet. 

Pichani wakiwa katika moja ya madarasa ya shule ya Msingi Murriet Darajani.
Diwani wa Kata ya Sakina, Mh Damuni Melamari (anayetizama kamera) akiwa miongoni mwa timu ya madiwani wa Jiji la Arusha walioambatana na Mh Meya Kalisti Lazaro katika ziara ya kukagua uhai wa shule za Jiji hilo sambamba na kujionea hali halisi ya mahitaji na changamoto zinazokaili shule hizo. 


Picha zinazofuata ni ziara katika Shule ya Msingi Nadosoito

Mh Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Viola Likindikoki akiaandika kituWashirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO