Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Saanani ateuliwa kumrithi Mwigamba Ukatibu Mkuu ACT

Baadhi ya Viongozi wa chama cha ACT-Wazalendo katika moja ya mikutano ya kisiasa. Picha na Mwananchi Communications
Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha ACT- Wazalendo imemteua Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho (Zanzibar) Juma Saanani kuwa Katibu Mkuu kuchukua nafasi iliyoachwa na Samson Mwigamba anayeenda masomoni JKU, Arusha.

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO