Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TCRA HAITAONGEZA MUDA WA KUANZA KUZIMA SIMU FEKI

Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Bw Yahya Simba
Mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA imeweka msimamo wake kuwa haitaongeza siku hata moja baada ya muda walioutoa kuisha ifikapo mwezi Juni mwaka huu kuwaruhusu kuanza kuzifungia simu feki.

Msimamo huo umetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TCRA mjini Dodoma na kuongeza kuwa watumiaji wamepewa takribani miezi sita tangu mwaka jana kujiandaa na zoezi hilo.


Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO