Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

DIWANI WA UNGA LTD ARUSHA JAMES LYATUU AAHIDI KUWAPAMBANIA WAMAMA WA VIKOBA KWENYE KATA YAKE KUWA KIKUNDI CHA MFANO


Diwani wa Kata ya Unga Ltd ya Jijini Arusha kupitia CHADEMA, Mh James Mathew Lyatuu (mwenye shati la mabaka) akiwa katika hafla ya kina mama wa kikundi cha vikoba kilichopo Mtaa wa Tindiga Unga Ltd alipowatembelea kwa mwaliko na kujua maendeleo yao.

Katika ziara hiyo, James Lyatuu aliambatana na Afisa Maendeleo Kata Mh Glory Nampyesa 
pamoja na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Tindiga  Mh Marry Kibonge pamoja na Mwenyekiti wa  Mtaa wa Darajani Mh Mahamoud. 

Diwani James Lyatuu akifafanua jambo na kuahidi  kuwapambania ili kuwa kikundi cha mfano ndani yake Kata ya Unga Ltd kuwashawishi kina mama wengine kuiga kwa nia ya kujiletea maendeleo.

Sehemu ya kina mama hao


Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO