Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taasisi ya AURORA inamchukulia Samatta kama kioo cha watanzania kwenye soka; yatoa msaada wa mipira kwa watoto PaganiMwakilishi wa AURORA ORGANIZATION, Bw Martini Sarungi akikabidhi mipira kwa timu ya watoto Kijiji cha Kikokwe Wilaya ya Pangani na kuahidi misaada zaidi na kufuatilia maendeleo yao kwa malengo ya kuona baadhi wakifikia malengo ya mtanzania anayekipiga Ugiriki, Mbwana Ali Samatta ambaye pia ni mwanasoka bora wa Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani mwaka 2015. 

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO