Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: KATIBU MKUU MPYA CHADEMA ATEMBELEA OFISI YA MEYA NA MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHAKatibu Mkuu wa Chadema Taifa, Dr Vincent Mashinji (mwenye suti na tai ya bluu katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi wa madiwani na Meya wa Jiji hilo, Kalisti Lazaro kulia kwake, sambamba na viongozi wa CHADEMA Mkoa na Wilaya mbele ya Jengo la ofisi za Halmashauri ya Jiji baada ya ziara yake ya kutembelea ofisi za Meya wa Jiji la Arusha na ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji.


Katibu Mkuu wa CHADEMA, Mh Vecent Mashinji akiwa na viongozi wengine wa CHADEMA katika ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha Mh Juma Iddi. Anayeonekana kuandika kitu ni Mwenyekiti wa CHADEMA Arusha Mjini Mh Derick Magoma. 


Katibu Mkuu wa Chadema Taifa, Dr Vincent Mashinji katika ofisi ya Meya wa Jiji la Arusha 
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO