Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: MHE. SAMIA SULUHU ZIARANI ARUSHA KUFUNGUA MKUTANO WA NANE WA MAWAZIRI WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU KUHUSU MATUMIZI YA SILAHA NDOGONDOGO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Ntibenda alipowasili Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro kwa ajili ya kufungua Mkutano wa nane wa kikao cha kawaida kuhusu matumizi ya silaha ndogondogo katika nchi za maziwa makuu na pembe ya Afrika unaotarajiwa kuanza le April 22, 2016 Mkoani Arusha.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua vikundi mbalimbali vya ngoma alipowasili Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro kwa ajili ya kufungua Mkutano wa nane wa kikao cha kawaida kuhusu matumizi ya silaha ndogondogo katika nchi za maziwa makuu na pembe ya Afrika unaotarajiwa kuanza kesho April 22, 2016 Mkoani Arusha.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua vikundi mbalimbali vya ngoma alipowasili Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro kwa ajili ya kufungua Mkutano wa nane wa kikao cha kawaida kuhusu matumizi ya silaha ndogondogo katika nchi za maziwa makuu na pembe ya Afrika unaotarajiwa kuanza kesho April 22, 2016 Mkoani Arusha 
Picha na OMR.
Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO