Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Albino wazichapa kavu kavu nje ya Ikulu Jijini Dar es Salaam wakati wakienda kumuona Rais Kikwete

Nuru Chagutu (kulia), akimvuta Mwenyekiti wake, wakati wa seke seke hilo.

Albino: Nuru Chagutu (kulia), akimtolea maneno Mwenyekiti wake

Nuru Chagutu (kulia), akimvuta Mwenyekiti wake, ilipotokea kutokuelewana kuhusu uwakilishi wao wa nani aende kuonana na Rais Jakaya Kikwete kuhusu madai yao ya kutaka kuonana naye kuhusiana na saka la utekaji na mauaji ya albino yanayotokea Kanda ya Ziwa.

Hapa Nuru Chagutu (kulia), bado anaonekana akimvuta Mwenyekiti wake suti yake.

Hapa jamaa anaonekana akiamulia ugomvi huo.

Jamaa akiendelea kuwazuiya vijana hao wasiendelee kumsulubu mwenzao.

SOURCE:

 WWW.BAYANA.BLOGSPOT.COM

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO