Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCHPR) Jaji Augustino Ramadhani Ahimiza Ushiriki zaidi wa Nchi za Afrika katika Maswala ya Haki za Binadamu

Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCHPR)Jaji Augustino Ramadhani(katika)akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mtendaji wa African Court Coalition,Wedi Djamba.(wa tatu kulia waliokaa), Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya International Commission of Jurists(ICJ)George Kegoro(kulia kwake)na wajumbe kutoka nchi mbalimbali barani Afrika katika  mkutano wa wadau wa Mahakama hiyo uliofanyika jijini Arusha.

KWA PICHA NA MATUKIO ZAIDI UNAGANA NA FILBERT RWEYEMAMU HAPA

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO