Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

PAPA KING MOLLEL WA TRIPLE A AIKABIDHI KATA YA KIA PIKIPIKI

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Triple A LTD na Mfanyabiashara wa Jijini Arusha, Papaa King Mollel (kulia) akimkabidhi pikipiki kwa aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Novatus Makunga ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Moshi mjini kwa ajili ya kusaidia na kurahisisha shughuli za maendeleo katika kata ya KIA wilayani Hai mkoani Kilimanjaro . Hafla hiyo ilifanyika jana Sakina jijini Arusha. 

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Triple A LTD na Mfanyabiashara wa Jijini Arusha, Papaa King Mollel (kulia) akikabidhi kadi ya pikipiki hiyo kwa Mkuu huyo wa Wilaya.

Viongozi mbalimbali wa kata ya KIA wakishuhudia mkurugenzi mkuu wa Triple A LTD Papa King Mollel akimkabidhi pikipiki aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Novatus Makunga kwa ajili ya kuchangia na kusaidia  shughuli za maendeleo ya kata ya KIA.

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO