Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

HOTUBA YA KIONGOZI MKUU WA ACT-TANZANIA

Zitto--30march2015Machi 29, 2015 chama kipya cha ACT-Tanzania kilizinduliwa rasmi katika ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo jana yake aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Taifa na kufukuzwa Mh Zito Kabwe aliteuliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa chama hicho kikatiba. Kwa mujibu wa Katiba ya chama hicho, Kiongozi Mkuu anakuwa juu ya viongozi wengine wote akiwemo Mwenyekiti na Katibu Taifa. Nimekuwekea link ya hotuba ya Kiongozi Mkuu wa ACT-Tanzania wakati wa Uzinduzi huo unaweza isoma hapa chini.

HOTUBA YA ZITTO KUPITIA BLOGU YA BUKOBA WADAU

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO