Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MHESHIMIWA FREEMAN MBOWE JUKWAA MOJA NA WAZIRI MAGUFULI MKOANI KILIMANJARO

 

Mh Freeaman Mbowe akiongea na Waziri wa Ujenzi Mh John Magufuli wakati wa hafla ya kuchangia Ujenzi wa madarasa ya Shule iliyopo Masama.

Mh Freeman Mbowe akizungumza jambo na waziri John Pombe Magufuli wakati wa kukagua Ujenzi wa Barabara ya Kwa Sadala - Masama, Machame km 16

Picha kwa Hisani ya MichuziBlog

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO