Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

RAIS KAGAME WA RWANDA AHUDHURIA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA KANDA YA KATI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 
1247

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimraribisha Rais Paul Kagame wa Rwanda kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference) ulioanza jana na kumalizika leo Machi 26, 2015.PICHA NA IKULU.3

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wageni wake Rais Paul Kagame wa Rwanda na Rais Pierre Nkurunzinza kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference) ulioanza jana na kumalizika leo Machi 26, 2015

4

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakiwa kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference) ulioanza jana na kumalizika leo Machi 26, 2015.

6

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakiteta jambo.

7

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Paul Kagame wa Rwanda katika picha ya pamoja na mawaziri wa Tanzania, kenya, DRC na Uganda kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference) ulioanza jana na kumalizika leo Machi 26, 2015

9

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Rais Paul Kagame wa Rwanda wakisiliza maelezo toka kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Bw. Rished Bade walipotembelea kituo cha kulipia ushuru wa aina zote chini ya paa moja  katika bandari ya Dar es salaam leo Machi 26, 20151011

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Rais Paul Kagame wa Rwanda wakiteta jambo walipotembelea  bandari ya Dar es salaam leo Machi 26, 2015

12

Rais Paul Kagame wa Rwanda akipeperusha bendera kuashiria kuzinduliwa kwa safari za treni za mizigo kuelekea Rwanda katika stesheni ya reli ya Dar es salaam akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho kikwete leo Machi 26, 2015

1415

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Rais Paul Kagame wa Rwanda wakiwa katika picha ya pamoja

PICHA ZOTE NA MAELEZO KWA HISANI YA FULL SHANGWE BLOG

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO