Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: WEMA SEPETU NA PETIT MAN NDANI YA STUDIO ZA REDIO 5 ARUSHA, ASIFU JIJI LA ARUSHA

sam_1387

Wema Sepetu akiwa anaeleza furaha yake yakuwepo jiji Arusha ambapo amesema jiji la Arusha ni miongoni mwa majiji anayoyapenda, Mwanza ikiwa ya kwanza na Arusha ya pili, Kulia ni msanii Petiman a.k.a Wakuache.

sam_1406Team mishemishe wakiwa na Wema Sepetu, kushoto; Mwanaisha Suleiman, Wema Sepetu, Mwangaza Jumanne na Hilda Kinabo wakishoo love.

Picha na Pamela Mlollel wa jamiiblog

KWA MATUKIO ZAIDI KONG’OLI HAPA

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO