Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MAHAFALI YA DARASA LA SABA ST. FLORENCE ACADEMY; MTOTO WA DEO RWEYUNGA AHITIMU

Mwanafunzi Denzel Deogratius Rweyunga akipokea cheti chake kutoka kwa mgeni rasmi, Dr Selina Mathias wakati wa mahafali ya kumaliza darasa la saba yaliyofanyika jana St. Florence Academy Mikocheni jijini Dar es Salaam.

Denzel Deogratius Rweyunga akiondoka jukwaa kuu kwa furaha baada ya kutunukiwa cheti cha kuhitimu darasa la saba na mgeni rasmi, Dr Selina Mathias ( katikati ). Kulia mwenye miwani ni mmiliki wa shule hiyo, mama Asey na mwenye suti ni mwalimu mkuu, Wilson Kakanga.

Picha ya pamoja wa wahitimu wa darasa la saba katika shule ya St.Florence Academy


Mmoja wa wanafunzi wa St Florence Academy akijiandaa kupokea cheti chake kutoka kwa mgeni rasmi, Dr Selina Mathias wakati wa mahafali ya wanafunzi wa darasa la saba katika shule ya St.Florence Academy, Mikocheni jijini Dar es Salaam jana.

Denzel ( mwenye joho ) akiwa katika picha ya pamoja na wazazi wake pamoja na wadogo zake, Doreen na Delbert

                                                                Denzel akimlisha keki mdogo wake, Delbert

                           Denzel akimlisha keki mdogo wake, Doreen

               Denzel akiwa amebeba keki yake

  Doreen akimlisha keki kaka yake Denzel

Wanafunzi walohitimu darasa la saba katika shule ya St. Florence wakipita mbele ya mgeni rasmi kuchukua vyeti vyao.

                                                                              Wakati wa kuonyesha vipaji vyao

Hadi ngoma toka Pemba ilichezwa na wanafunzi hao

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO