Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: ZIARA YA KAMPENI YA MGOMBEA MWENZA WA CHADEMA MHESHIMIWA JUMA DUNI HAJI - IRINGA VIJIJINI

 

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji na akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Isimani Iringa vijijini.Isimani Iringa vijijini, (Picha na Francis Dande)

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji na akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Isimani Iringa vijijini.Isimani Iringa vijijini.

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji na akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Isimani Iringa vijijini.Isimani Iringa vijijini.

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji na akimtambulisha kwa wapiga kura mgombea ubunge jimbo la Isimani Iringa vijijini, Patrick Ole Sosopi.

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiwa na mgombea ubunge jimbo la Isimani Iringa vijijini, Patrick Ole Sosopi.

Wasanii wa kikundi cha ngom za asili cha Kitimtim kutoka mkoani Iringa kikitumbuiza wakati wa mkutano wa kampeni uliohutubiwa na mgombea mwenza wa Ukawa, kupitia Chadema, Juma Duni Haji (hayupo pichani) uliofanyika jimbo la Isimani Iringa vijijini.

Wananchi wakifuatilia mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Isimani mkoani Iringa.

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO