Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WAPYA WA FINLAND NA SWEDEN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Balozi mpya wa Finland nchini Bw. Pekka Hukka akisanini kitabu cha wageni alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo Septemba 9, 2015

Balozi mpya wa Finland nchini Bw. Pekka Hukka akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015

Balozi mpya wa Finland nchini Bw. Pekka Hukka baada ya kuwasilisha hati za utambulisho akiongea na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015

Balozi mpya wa Sweden Bi. Katrina Rangnitt nchini akiweka saini kitabu cha wageni kabla ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015

Balozi mpya wa Sweden nchini Bi. Katrina Ranngitt  akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015

Balozi mpya wa Sweden nchini Bi. Katrina Ranngitt  akisalimiana na Naibu Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa baada ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015

Balozi mpya wa Sweden nchini Bi. Katrina Ranngitt  akiwa katika mazungumzo na  Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015

Balozi mpya wa Sweden nchini Bi. Katrina Ranngitt akisindikizwa na Mnyikulu wa Ikulu Bw. Jumaa Bwambo  baada ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakay Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015.

Picha na IKULU

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO