Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA JUMA DUNI HAJI AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI MKOANI RUVUMA

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akisalimiana na mgombea udiwani wa Ukawa kata ya Tingi wilaya ya Nyasa, Bosco Mapunda alipowasili katika kijiji cha Tingi mkoani Ruvuma kwa ajili ya mkutano wa kampeni kijijini hapo. (Picha na Francis Dande)

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akisalimiana na mgombea ubunge kupitia viti maalum, Anna Diwu.

Wananchi wa kijijicha Tingi mkoani Ruvuma wakifuatilia    mkutano wa kampeni.

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiwa amembeba mtoto Tedy wa kijiji cha Tingi mkoani Ruvuma wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kijiji hapo

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akisalimia na wananchi wa kijiji cha Tingi katika jimbo la Nyasa wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika mkoani Ruvuma.

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akisalimia na wananchi wa kijiji cha Tingi katika jimbo la Nyasa wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika mkoani Ruvuma.

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiwatambulisha madiwani wa Ukawa wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Tingi jimbo la Nyasa mkoani Ruvuma.

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akisalimia na wananchi wa kijiji cha Tingi katika jimbo la Nyasa wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika mkoani Ruvuma.

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO