Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: ZIARA YA KAMPENI YA MGOMBEA URAIS MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA JIMBONI VUNJO

 

Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia umoja wa katiba ya wananchi UKAWA Mh. Edward Lowassa akihutubia mamia ya wakazi wa jimbo la Vunjo Mkoani Kilimanjaro.

Mgombea ubunge wa Jimbo la Vunjo Mh James Mbatia akihutubia katika mkutano wa kampeni jimbo la Vunjo.

Mh James mbatia akisalimiana na mgombea Urais Mh Edward Ngoyai Lowassa wakati alipowasili jimboni Vunjo kwenye mkutano wa kampeni za Urais na Ubunge.

CHANZO: CHADEMA BLOG

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO