Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: ZIARA ZA MBUNGE GODBLESS LEMA KUOMBA KURA KWA WANA ARUSHA SOMBETINI

Sombetini - Lema

Sombetini - Anna Lema

Mke wa Mgombea Ubunge Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Bi Neema Lema akihutubia katika mkutano wa hadhara eneo la Mbauda katika mfululizo wa mikutano ya Lema kutafuta uungwaji mkono na wananchi kuelekea uchaguzi Mkuu baadae mwaka huu. Lema anwania muhula wa pili kuongoza Jimbo hilo. 

Neema Tarimo Lema amewaomba wanamama wa Arusha wasifanye makosa kwasababu wao kinamama ndio wakienda kujifungua hospitali ya Mount Meru hulazwa chini na watoto wao kwahiyo wamchague Lowasa ndio anaweza kuwatoa utumwani ambapo wameteseka kwa miaka 50.

Sombetini Mbauda - Lema

Sombetini Mbauda- Lema

Mh Lema akizungumza katika mkutano huo wa Septemba 8, 2015

PICHA NA MELEZO: NOEL OLEVAROYA, ARUSHA

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO