Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MAKAMU MWENYEKITI ZANZIBARA CHADEMA SAID ISSA MOHAMED AKIMTAMBULISHA MGOMBEA MWENZA ANAYEUNGWA MKONO NA UMOJA WA UKAWA, JUMA HAJI DUNI. MKOANI LINDI

 

kutambulishwa

Mgombea mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi kupitia Chadema, Juma Duni Haji (kulia), akimtambulisha mgombea wa ubunge wa jimbo la Liwale kupitia CUF, Zubery Kuchauka wakati wa mkutano wa kampeni ulifanyika kwenye uwanja wa Wilaya ya Liwale mkoani Lindi jana.

Kikundi cha Kwaya ya Tujikomboe kikitumbuiza wakati wa mkutano wa kamapeni uliofanyikakatika uwanja wa Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi jana.

Kwaya

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar Said Issa Mohamed (kushoto) akimtambulisha mgombea mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kupitia Chadema, Juma Duni Haji wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Wilaya ya Liwale mkoani Lindi jana.

 

kumtambulisha mgombea

Mgombea mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi kupitia Chadema, Juma Duni Haji (katikati) akiwaaga wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Wilaya ya Liwale mkoani Lindi jana.

kuaga liwale

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar Said Issa Mohamed (kushoto) akimtambulisha mgombea mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa),  kupitia Chadema, Juma Duni Haji wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Maulidi Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi jana.

Kumnadi mgombea mwenza

Mgombea mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kupitia Chadema, Juma Duni Haji akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Maulidi Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi jana.

Mgombea kuhutubia

Wafusi wa Ukawa wakiwa katika mkutano wa kampeni zamgombea mwenza wa urais wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji uliofanyika katika uwanja wa Maulidi uliopo wilayani Nachingwea jana.

Bango

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO