Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Hatimaye Meya wa Kinondoni Boniface Jacob (CHADEMA) aachiwa na Polisi kwa dhamana

Hatimaye Meya wa Ubungo Jacob, Katibu wa CHADEMA Ubungo Justine, Katibu wa Kata ya Makurumula na makamanda wengine waliokamatwa.

Kwa ya amri ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo wameachiwa huru baada ya saa 48 za kuwekwa ndani bila makosa yoyote.

Chama kitachukua hatua dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo kwa ukiukaji wa sheria za nchi na matumizi mabaya ya Sheria ya Tawala za Mikoa.Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO