Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mbunge Viti Maalum CCM Catherine Magige Akabidhi Vitanda, Magodoro na Mashuka Zahanati ya Levolosi Jijini Arusha Kwa Niaba ya Rais Dk MagufuliMkurugenzi wa Halashauri ya Jiji la Arusha Athumani Kihamia akizungumza katika Zahanati ya Levolosi ya Jijini Arusha kwenye hafla ya makabidhiano ya sehemu ya msaada wa vitanda 25, mashuka 25 na magodoro 25 kutoka kwa Rais Dh Magufuli kwa ajili ya vituo vya afya 7 na zahanati 5 za Hamalashauri ya Jiji la Arusha.
Wengine ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Mh Catherine Magige.

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Arusha Mh Catherine Magige  akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya sehemu ya msaada wa vitanda 25, mashuka 25 na magodoro 25 kutoka kwa Rais Dh Magufuli kwa ajili ya vituo vya afya 7 na zahanati 5 za Hamalashauri ya Jiji la Arusha.

Halmashauri ya Jiji la Arusha inayongozwa na Meya Kalisti Lazaro ikiwa madiwani 32 na mbunge mmoja wote kutoka CHADEMA na Diwani mmoja kutoka CCM. Blogu hii haikiweza kufahamu kutokuwapo kwa viongozi wengine wa Halmashauri wasiotokana na CCM.

Sisi kama wadau wa maendeleo bado tunasisitiza maendeleo hayana itikadi na jambo lolote jema la maendeleo ni vyema likatekelezwa kwa ushirikiano wa viongozi wote bila ubaguzi.
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO