Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

RC Kilimanjaro Mh Anna Mgwira Amtetea Mkuu wa Wilaya ya Hai Aliyeongoza Zoezila Uharibifu wa Shamba la Mbowe Wilayani Hai

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mh Anna Mghwira (pichani) amenukuliwa na gazeti la Mwananchi akieleza kuwa, hatua ya kung'oa miundombinu na mali kulikofanywa na Mkuu wa Wilaya ya Hai katika shamba la kisasa (Green House) la Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai Mh Freeman Mbowe nii taratibu za kulinda mazingira na kwamba siyo kwa sio sababu za kisiasa kama inavyoelezwa na baadhi ya watu.

Wewe msomaji wetu una mtazamo gani !? 
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO