Vyombo vya dola Mkoani Arushavimeanzamaandalizi ya kushirikiana na Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Arusha kuendesha zoezi la kuwakamata na kuwatoza faini wananhi wanaoendelea kununua bidhaa bila kudai risiti na wafanyabiashara wanaoendelea kuuza bidhaa bila kutoa risiti. Hatua hiyo inalenga kuokoa fedha zinazopotea kila siku kutokana na tatizo hilo
Menenja wa TRA Mkoa wa Arusha Bw Apili Mbaruku amesema mwananchi atakayekamatwa akiwa na bidhaa ambayo haina risiti atatozwa faini ya shilingi 30,000 wakati mfanyabaiashara aliyeuza bila kutoa risiti atatozwa milioni tatu adhambu ambazo zinaweza kwenda pamoja na kushitakiwa Mahakamani.

0 maoni:
Post a Comment