Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mgombea Ubunge Kenya Lyidia Ntimana amtembelea Lowassa ofisini Dar kuomba sapoti

 Mgombea Ubunge kaunti ya Narok nchini Kenya, Lyidia Ntimana akaizungumza na Waziri Mkuu wa zamai wa Tanzania ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Mh Edward Lowassa Jijini Dar es Salaam leo.

Mh Ntimana ambaye ni mtoto wa  waziri wa zamani nchini Kenya marehemu Ole Ntimana amemembeleaLowassa ofisini kwake Mikocheni Jijini Dar es Salaam kuomba ushawishi akiwa kama kiongozi mkuu wa jamii ya Maasai ukanda wa Afrika Mashariki (Laigwanan Mkuu).
Lyidia Ntimana akiteta na Mh Edward Lowassa

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO