Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Patrobas Katambi wa BAVICHA: HATUTAKUBALI KUONA VIONGOZI WETU WANAKAMATWA HOVYO

Katambi
Mwenyekiti wa BAVICHA Patrobas Katambi (anayezungumza) na kushoto kwake ni Katibu Mwenezi wa BAVICHA Bw Simbeye
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amezungumza navyombo vya habari Jijini Dar es Salam na kutoa msimamo wa Baraza hilo kuhusiana na kamatakamata inayoendelea dhidi ya viongozi wa CHADEMA maeneo mbalimbali nchini.

Katambi amesema kuwa wao kama vijana wa chama hicho hawatakubali kuona viongozi waowakiendelea kukamatwa hovyo na vyombo vya dola bila kufuata utaratibu wa sheria. 
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO