![Sirro Sirro](https://dxzccmtp98vpc.cloudfront.net/wp-content/uploads/2017/06/24140959/WhatsApp-Image-2017-06-24-at-13.57.14-660x400.jpeg)
Leo June 24, 2017 Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro alikuwa Mgeni rasmi katika sherehe ya kufunga mafunzo ya Maafisa wa Uhamiaji waliomaliza Kozi Namba Moja, sherehe zilizofanyika Chuo cha Polisi Moshi, CCP.
IGP Simon Sirro akimvisha Cheo Mkaguzi Msaidizi Hadija Masoud Ali wakati wa sherehe za kumaliza kozi ya kwanza ya Maafisa Uhamiaji katika Chuo cha Polisi Moshi, CCP
CREDIT: MILLARD AYO
0 maoni:
Post a Comment