
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Simanjiro uliopo Kata ya Sombetini Jijini Arusha Mh Piniel Mollel (CHADEMA) akimkabidhi mkazi wa mtaa wake asiyejiweza kiasi cha shilingi elfu hamsini (50,000) kama gharama za nauli alizoomba mzee huyo ili aweze kuzitumia kwa safari ya kurudi kijijini kwake Mkoani Tanga kupumzika kwa kile alichoeleza kuwa maisha ya mjini yamekuwa magumu kuyamudu.
0 maoni:
Post a Comment