Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: Msafara Wa Lema Ukiingia Makao Makuu CHADEMA, Dar es Salaam

Mwenyekiti Mbowe akihutubia wafuasi wa chama chake makao makuu baada ya Lema Kurudishiwa ubunge na mahakama ya rufaa

Mwanachama akiwa na bango linalosema SAY NO TO TBC.ikumbukwe kuwa kamati kuu ya chama ilishatangaza mgogoro na TBC.

Umati wa wanachama wakiwa makao makuu

Lema akiongea na viongozi wa chadema.Lwakatare(mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa taifa) na John mrema (mkurugenzi wa Bunge na Halmashauri)

PICHA ZOTE NA MJENGWA BLOG

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO