Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

RAIS KIKWETE ALIPOTUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI 192 NA KUFUNGUA MAKTABA YA CHUO CHA MAFUNZO YA KIJESHO MONDULI JANA

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitunuku kamisheni kwa maafisa wanafunzi 192 katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, leo Jumamosi Desemba 15, 2012.

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa gwaride wa Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, leo Jumamosi Desemba 15, 2012 tayari kutunuku kamisheni kwa maafisa wanafunzi 192 waliohitimu chuoni hapo.

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la maafisa wanafunzi katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, leo Jumamosi Desemba 15, 2012 kabla ya kuwakutunuku kamisheni maafisa hao 192 waliohitimu chuoni hapo.

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi kamtaba ya kisasa katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, leo Jumamosi Desemba 15, 2012 baada ya kuwakutunuku kamisheni maafisa hao 192 waliohitimu chuoni hapo.

Gwaride la maafisa wanafunzi katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, leo Jumamosi Desemba 15, 2012 wakati wa kuwakutunuku kamisheni maafisa hao 192 waliohitimu chuoni hapo.

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa jukwaa kuuna maafisa wakuu wa jeshi.

 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitembelea bweni namba 15 ambamo Rais Kikwete alikuwa akiishi wakati akiwa mafunzoni hapo katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, leo Jumamosi Desemba 15, 2012 kabla ya kuwakutunuku kamisheni maafisa hao 192 waliohitimu chuoni hapo.

Mheshimiwa Rais naomba kukupiga picha msichana Shalom anamwambia Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, leo Jumamosi Desemba 15, 2012 baada ya kuwakutunuku kamisheni maafisa hao 192 waliohitimu chuoni hapo.PICHA NA IKULU

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO