Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MBUNGE WA CCM VITI MAALUM ARUSHA AZINDUA MFUKO WA KUSAIDIA JAMII “CATHERINE FOUNDATION”

DSC09669

Mbunge wa viti maalum  Catherine Maggige akisomama taarifa ya Foundation yake ilivyoanza kazi mbele ya mgeni rasmi mkuu wa wilaya na wananchi waliohudhuria uzinduzi wa Catherine Foundation kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya ya Arusha leo Asubuhi

DSC09650

Pichani ni mbunge wa viti maalum vijana(CCM) Catherine Magige akiwa na baadhi ya vijana wakibadilishana mawazo kabla ya uzinduzi ulioenda sambamba na sherehe ya uzinduzi wa Catherine Foundation kwenye viwanja vya ofisi ya mkuu wa wilaya ya Arusha leo Asubuhi pamoja na kutoa msaada wa baskeli kwa walemavu wa wilaya ya Arusha.

DSC09654

Mgeni rasmi ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya Arusha John Mongela Kisalimiana na wageni mbali mbali wakati alipowasili kwenye uzinguzi wa Catherine Foundation leo Asubuhi jijini Arusha

DSC09656

DSC09687DSC09688

Hapa wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya walemavu kupatiwa zawadi ya baskeli

Hapa wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya walemavu kupatiwa zawadi ya baskeli

Mkuu wa Wilaya ya Arusha akiongea na vyombo vy habari kulia ni david Rwenyagila wa Redio 5

Mkuu wa Wilaya ya Arusha akiongea na vyombo vy habari kulia ni david Rwenyagila wa Redio 5

Picha zote kwa hisani ya: Pamela Mollel wa JAMII BLOG

seria signature_thumb[2]

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO