Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

UDSM chuo cha sita kwa ubora Afrika

Utafiti uliofanywa na Africa.com na kutangazwa Novemba 9, 2012 umekiweka Chuo Kikuu cha Dar es Salaama katika nafasi ya sita kwa ubora barani Afrika.

Chuo cha Cairo chenye wananfunzi zaidi ya 45,000 katika taaluma za Dawa, Sayansi, Teknolojia ya Habari na Sayansi ya Siasa, kimeendelea kukamata nafasi ya kwanza.

Vyuo vikuu vya Makerere na Nairobi vimewekwa nafasi ya nne na tano kwa mujibu wa utafiti huo.

Kusoma habari kamili kong’oli hapa

UDSM yang’ara Afrika

seria signature_thumb[2]

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO