Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mdau wa Blog, Martha Florence Ala Nondoz kuwa ‘Public Adminstrator’

mac graduation (4)Martha Florence (mwenye joho) akiwa na mama yake, anti na wadogo zake muda mfupi baada ya kutunukiwa Degree ya kwanza katika taaluma ya “Public Adminstration” kwenye Mahafali ya 11 ya Chuo Kikuu Cha Mzumbe yaliyofanyika chuoni hapo siku ya Disemba 7, 2012.

Pichani, kutoka kushoto ni wadogo zake Michael Florence na Didas Florence ambaye yuko mwaka wa mwisho wa masomo yake Chuo Kikuu cha St Augustino. Anafuata mwenye shughuli Martha Florence, Mama Martha, na Anti Ritha.

mac graduation (3)Martha Florence na rafiki yake na mhitimu Flaviana Ngeze

mac graduation (1)

martha florenceZawadi toka kwa wapendwa, ndugu na jamaa.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO