Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mamlaka husika zilaumiwe kwa uchafu wa Jiji la Arusha

DSCN7186[1]Katika pitapita mitaani leo, Blog hii iliweza kunasa tukio la uchafu uliorundikana kwenye kichanja hiki cha kukusanyia takataka maeneo ya Clock Tower Jijini Arusha bila kuchukuliwa na wahusika wa ukusanyaji taka kiasi cha kuanza kudondoka chini. Eneo hilo hilo picha ya chini inavyoonesha, spectacle nyingine inaonekana kana kwamba haijawahi kutumika kwa muda mrefu sana.

Mamlaka husika zinapaswa kubeba lawama za kutoshiriki kwa ukamilifu katika usimamizi wa sheria za usafi na kufuatilia vitu kama hivi ili mji wetu uwe safi maeneo yote na kwa muda wote!

DSCN7187[1]

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO