Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Ziara ya Dr Slaa Jijini Dar: Jana ilikuwa ni zamu ya Jimbo la Kinondoni

IMG_7026

Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokraisa na Maendeleo (CHADEMA), Dr Wilbroa Slaa akizungumza jana katika kikao cha Kikatiba kilichojumuisha wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jimbo wa chama hicho Jimbo la Kinondoni, katika mfululizo wa ziara za katibu huyo kutembelea Majimbo manne ya Mkoa wa Dar es Salaam, a,bayo ni Temeke, Kigamboni, Kinondoni na Ilala.

IMG_7003Mwikambw Mwita Waitara akifafanua jambo katika kikao hicho

IMG_7009Baadhi ya wajumbe waliohudhuria kikao hicho jana mchana

seria signature

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO