Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Rais Jakaya Kikwete akitunuku Nishani Watu mbalimbali kwa Mwaka 2012.

Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la 1, Dkt. Mohamed Seif Khatib- Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam. Picha Zote na Ofisi ya Makamu wa Rais

 Baadhi ya Watunukiwa wakiwa katika hafla hito wakati wakisubiri kutunukiwa.

 

Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la (I), Ludovick Silemwa Lemnge Utouh- Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.

Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la (ii), Ruth Rashid- Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.

Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Sanaa na Michezo, Bi Fatma Baraka Khamis (Bi Kidude)-BASADA, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.

 Bi. Kidude, akiwa katika pozi baada ya kuvishwa Nishani yake na Rais Kikwete huku akiimba wimbo wake wa Laiti, kwa poooozi.

Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Sanaa na Michezo, Muhidin Mwalimu Gurumo-Habari,Utamaduni na Michezo, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.

 Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Utunzaji Mazingira daraja la (I) Dkt. Reginald Abraham Mengi Kamati ya Nishani, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO