Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

SAFARI ZA TRENI KUTOKA MWANZA KUANZA TEANA KESHO

Kuanza kwa usafiri huo kumerejesha matumaini kwa wananchi wanaotumia usafiri huo hasa kwa wafanyabiashara wanaosafiri na kusafirisha bidhaa kwa wingi kila kukicha kutokana na gharama zake kuwa nafuu zaidi ikilinganishwa na ile ya mabasi ya abiria ya kutoka Mwanza hadi jijini Dar es salaam.


Vibarua wa shirika la reli wakifanya maandalizi ya mwisho kwenye njia za treni na usafi.

Kwa picha zidi tembelea G Sengo Blog

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO