Mahakama Kuu imemuondolea Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) mamlaka ya kutoa adhabu isiyokatiwa rufaa kwa mshitakiwa anayekiri makosa ya kimtandao na kuipa Serikali miezi 12 kukifanyia marekebisho kifungu cha 50 cha sheria ya mkosa ya mtandao kilichobatilishwa.
Uamuzi huo uliotolewa na majaji Profesa John Ruhangisa, Winfrida Karosso na Lugano Mwandambo umetokana na kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Kituo cha Msaa wa Sheria na Haki zaBinadamu (LHRC) na wadau wengine.
Hata hivyo, Mahakama hiyoimehalalisha vifungu vinginevyote vilivyokuwa vikilalamikiwa na wadau mbalimbali
Source: Mwananchi
0 maoni:
Post a Comment