Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Tume ya Uchaguzi Kenya (IEBC) Kuanza Kusajili Wapiga Kura Kuanzia Januari 16, 2017

Tume huru ya uchaguzi na mipaka I.E.B.C. imetangaza kuwa awamu ya pili ya usajili wa wapiga kura itaanza tarehe 16 mwezi huu. Kwa mujibu wa mkuu wa mawasiliano katika tume hiyo, Andrew Limo, shughuli hiyo itatekelezwa katika viwango vya wadi huku maafisa wa utawala katika maeneo hayo wakitarajiwa kuhamasisha wananchi kujisajili kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Limo alisema kuwa jumla ya mitambo 7,846 ya usajili wa wapiga kura kielektroniki itasambazwa katika maeneo ya kaunti huku mitambo 53 ya BVR ikisambazwa katika vituo mbali mbali nchini humo. 
Zaidi SOMA HAPA
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO