Akitoa salamu zake za mwaka mpya kwa watanzania kupitia tangazo maalumu lililorushwa na Azam Tv mapema leo asubuhi, zaidi akizungumzia hali ya kisiasa nchini Lowassa amesema hakuna sababu ya kufanya siasa zakuumizana na kwamba watu wapingane kwa hoja na sera bila kupigana.
"Tupingane bila kupigana, turuhusu watuwafaye mijadala, turuhusu watu wafanye shughuli zao, turuhusu watu waoneshe mapenzi na watu wanaokubaliana nao bila kuwaambia kwasababu wewe ni CHADEMA basi hustahili kupata hiki,kufanya biashara hii. Hii nchihaiwezi kwenda kwa utaratibu huo. Tutoe nafasi ya kupingana bila kupigana,

Nchi hii ni ya amani, tutasaidiana. Napendakumuhakikishia (Mh Rais) kwa nafasi yangu na chama changu, tutaheshimu sana demokrasia, malekezo na mamlakaya Rais lakini tunaomba pia nanyie mkaheshimu haki zetu na demokrasia yetu itekelezwe kwa haki na kwa uhakika"
0 maoni:
Post a Comment