Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

KAIMU KATIBU MKUU UVCCM SHAKA AZUNGUMZA NA WATUMISHI UVCCM MAKAO MAKUU


  









''Tuongeze bidii ya kazi kila mmoja katika nafasi yake nilazima afahamu na kutambua ya kwamba kila mfanyakazi wa jumuiya katika eneo lake, mchango wake na juhudi za zake zinahitajika sana hasa katika hichi kipindi cha kuleta mageuzi makubwa ya kiutendaji kwa wanachama wetu ''Alisema  Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka (kushoto) wakati  akizungumza na watumishi wa UVCCM Makao Makuu, Dar es Salaam leo.







Mkuu wa Utawala UVCCM Ndg:Omary Ng'wanang'walu liposimama kuzungumza katika kikao hicho cha   kutathmini utendaji wa jumuiya kwa mwaka 2016 na kupanga mikakati ya mwaka 2017 leo Makao Makuu  UVCCM Upanga Dar es Salaam 








Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa,Sera,Utafiti na Mawasiliano Ndg:Mtemi Sylvester Yaredi akizungumzia juu ya Mikakati ya Maswala Mbalimbali katika idara yake katika kikao hicho cha   kutathmini utendaji wa jumuiya kwa mwaka 2016 na kupanga mikakati ya mwaka 2017 leo Makao Makuu  UVCCM Upanga Dar es Salaam .








Kaimu Mkuu wa Idara ya Uchumi na Fedha Bi:Tumain Mwakasege akizungumzia juu ya Mikakati  Mbalimbali katika idara yake katika kikao hicho cha kutathmini utendaji wa jumuiya kwa mwaka 2016 na kupanga mikakati ya mwaka 2017 leo Makao Makuu  UVCCM Upanga Dar es Salaam










Mtumishi Wa Makao Makuu UVCCM Ndg:Pamphil James Hwago wa kwanza kushoto  akimuelezea Kaimu Katibu Mkuu Shaka wa kwanza kuli juu ya changamoto  za maswala mbali mbali yanayowakabili Watumishi 
Makao Makuu  UVCCM Upanga Dar es Salaam 
Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO