Siku ya Alhamis tarehe 29/12
Bw. Wasia Maya kutoka mjini Houston , Texas aliamua kuachana na kambi ya makapera na kufunga ndoa na
Bi. Laila Martin. Harusi hiyo ilifanyika nyumbani kwa Bw. Wasia na kuhudhuriwa na Watanzania wengi waishio katika jiji la Houston na miji ya jirani. Ijumaa ya tarehe 30/12 kulifanyika Nikka Dinner katika ukumbi wa Pakwan uliopo kwenye makutano ya barabara za HW6 na Beechnut . Pata picha za Harusi na Nikka Dinner hapa chini
|
Bw. Wasia na Bi. Laila siku ya ndoa yao |
|
Maharusi wakiwa na sura za furaha |
|
Bw. Wasia na mkewe Bi. Laila |
|
Bibi Harusi Bi. Laila |
|
Bw. Wasia |
|
Bi. Laila |
|
Bw. Wasia akiwa kaka Said Nassor
|
|
Kaka Mohamed Msika , Bw. Wasia Maya na kaka Said Nassor
Maharusi |
|
Kaka Ally Mjungu akiwa na Bw. Wasia Maya |
|
Kaka Ally Mjungu , Bw. Wasia Maya na Uncle Shebby Pambwe |
|
Bwana Wasia akiozeshwa |
|
The 1st kiss |
NIKKA DINNER
|
Kaka Ramadhan Machapati, Kaka Kassim Daffa na Kaka Abdul |
|
Bi. Amina na Bi. Zainab |
SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
BONYEZA LINK HAPA KUSOMA STORI HIZI PIA
0 maoni:
Post a Comment