Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MAMBO YALIVYONOGA KATIKA SENDOFF YA MUNIRA BAWAZIRI,MKE MTARAJIWA WA KATIBU WA APC JIJINI ARUSHA BWANA AMIRI MONGI

MAMBO YALIVYONOGA KATIKA SENDOFF YA MUNIRA BAWAZIRI,MKE MTARAJIWA WA KATIBU WA APC JIJINI ARUSHA BWANA AMIRI MONGI

Wakwanza kushoto ni ndugu Amin Mongi,akifuatia na  pili kushoto ni Katibu wa Arusha Press Club(APC) ndugu Amir Mongi (bwana harusi mtarajiwa)akiwa na mkewe mtarajiwa ,Wa kwanza kulia  bi Millen Amin ,siku ya sendof Jijini Arusha.Picha na Vero Ignatus Blog

Bi Munira Bawazir akiwa katika pozi siku ya sendof yake iliyofanyika hivi karibuni Jijini Arusha.
Bi Munirah Bawazir akiwa anawakabidhi keki wakwe zake ishara ya Upendo wake kwao siku ya Sendof yake iliyofanyika Jjijini Arusha hivi karibuni aliyevaa shatijeupe ni kakayake bwana harusi mtarajiwa Twahir Mongi,akifuatiwa na dada yake bwana harusi Anifa Mongi.Picha na Vero Ignatus Blog
Mke mtarajiwa wa Katibu wa Arusha press Club(APC) Monirah Bawazir akimvisha mumewe mtarajiwa saa kama zawadi siku ya sendof yake iliyofanyika Jjini Arusha  .Picha na Vero Ignatus Blog
Katibu wa Arusha Press Club Amir Mongi akiwa anakagua saa aliyovalishwa na mkewe mtarajiwa siku ya sendof yake Jijijni ARUSHA .Picha na Vero Ignatus Blog
Bi Munirah Bawazir akimlisha keki mtoto wao Raqeeb Amir siku ya sendof yake iliyofanyika Jijini Arusha hivi karibuni.Picha na Vero IgnatusBlog.
 **************************
 Ndoa ya Katibu wa Arusha Press Club (APC) pamoja na bi Munira Bawazir inatazamiwa kufungwa msikiti wa Marangu  jumamosi tar 7/1/2017.


Baadae tafrija itafanyika ukumbi wa Mamba Complex Kotela  Marangu Mkoani Kilimanjaro nyumbani kwa bwana harusi mtarajiwa Amir Mongi.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO