
Mbunge wa Jimbo la Monduli Mhe. Julius Kalanga (mwenye suti ya kijivu pichani) amekagua ujenzi wa kituo cha afya Makuyuni na miradi mingine ndani ya Kata hiyo, na kuchangia lori 7 za kokoto na mifuko 100 ya cement.
Hata hivyo ametoa wito kwa jamii na wadau wengine kujitokeza kuchangia miradi ya maendeleo ili kuboresha maisha ya wananchi.
0 maoni:
Post a Comment