Imeandikwa na Hamis Shimye, UPL
HAYATI Mzee Rashid Mfaume Kawawa alikuwa ni kiongozi shupavu aliyewahi kutokea, ambapo alikuwa kiongozi adhimu sana na mwenye moyo wa ajabu katika kuipigania nchi yake katika ufanyaji wa kazi mbalimbali za maendeleo.
Alikuwa ni mtu asiyeogopa kazi hadharau kazi, hana makuu, hana makundi, hana majungu. Mdogo wake akifanywa mkubwa wake atafanya kazi chini yake kwa moyo wake wote, na uwezo wake wote; bila manung’uniko, na bila kinyongo.
Katika TANU alikuwa akiitwa Simba wa Vita.
Haogopi maamuzi mazito. Mkishafanya maamuzi ndani ya vikao yeye basi lazima...Soma zaidi/>BOFYA HAPA
CREDIT: CCMCHAMA BLOG
0 maoni:
Post a Comment