Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa
Mataifa(UN) Antonio Manuel Olveira Guterres kabla ya kuanza mazungumzo yao
katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa
Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa nchini Ethiopia.
Katibu Mkuu wa Umoja wa
Mataifa Antonio Manuel Olveira Guterres akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya kuanza mazungumzo yao katika
Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Umoja
wa Afrika (AU), Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa
Umoja wa Mataifa(UN) Antonio Manuel Olveira Guterres katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Umoja wa Afrika (AU),
Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Katibu Mkuu wa Umoja wa
Mataifa(UN) Antonio Manuel Olveira Guterres mara baada ya mazungumzo yao.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Marais wa wa mataifa
mbalimbali katika mkutano wa AU
unaoendelea mjini Addis Abba nchini Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Malawi Peter
Mutharika kabla ya kuanza mazungumzo yao katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Umoja wa Afrika (AU),
Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshikana mikono na Rais wa Malawi
Peter Mutharika pamoja na viongozi wengine mara baada ya kumaliza mazungumzo
yao katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja
wa Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya
Kidemokrasia ya Sahrawi(SADR) Brahim Ghali katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Umoja wa Afrika (AU),
Addis Ababa nchini Ethiopia.
PICHA NA IKULU
0 maoni:
Post a Comment