Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: UZINDUZI WA KAMPENI ZA UDIWANI UCHAGUZI MDOGO KATA YA LEMBENI JIMBO LA MWAKA

Waziri wa Wizara ya Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mwanga, Kilimanjaro Profesa Jumanne Maghembe (kushoto) akiwa katika heka heka Chama cha Mapinduzi katika uzinduzi wa Kampeni za kumnadi mgombea wachama hicho Bw kuwania udiwani Kata ya Lembani Jimbola Mwanga kuziba nafasi iliyowazi katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu. 

Kina mama wa CCM kutoka Kata ya Lembeni Jimbo la Mwanga wakiserebuka midundo ya nyimbo za hamasa katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za udiwani katika Kata hiyo jana. Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO